cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Jibadili
HahahahahNi kawaida katika uzi huu. Watu huwa wanaaga mpaka hata mara 10 na bado hawaondoki...
Msalimie...Nitarejea natoka kidogo na wifi yenu
ho chi minh mzee mwenzangu babe S anakuulizia hebu wahiHahahahah, nahisi ho chi mihn naye kashalala...
babe S ulishaaga!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ehe! Kidogo kidogo...
Hahahah
Nimerudi tena...Sawa mkuu tumikia ndoa
Good morningTo all of you Goodmorning...
Hahah wala sina wasi wasi waoShemeji Uniq unasikia? Jamaa wana impact hawa usiwachekee. This is not good [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]