KHERI NUSU SHARI KULIKO SHARI KAMILI . Haikua bahati tu , bali ni neema ya siku ya jumapili ya tarehe 5 ya September 1993 kwenye uzao wako mtukufu , haikua baraka ya jiji la Bujumbura tu , bali nchi nzima ya burundi ilinufaika na ujio wako duniani. Nyota ilianza kung'aa mapema sana , tangu...
www.jamiiforums.com