Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1610869310260.jpg
 
Supu ni kitoweo kilicho katika hali ya majimaji chenye michanganyiko tofauti ya vyakula. Supu yaweza kuwa ya rangi au ladha yeyote kutegemea na matakwa binafsi.
 
Supu moto huchukua nafasi ya chai mahala penye baridi au supu baridi mahali penye joto badala ya vinywaji baridi kama soda au maji ya matunda
 
Karibu aina zote za vyakula zaweza kutumika kutengeza supu. Ukianzia na vyakula vyenye asili ya wanyama (Mfano nyama na samaki), vyenye asili ya mimea Mfano matembele, bamia, mchicha, bilinganya na vinavyo fa nana na hivyo na vyakula vitokanavyo na mbegu za mimea mbalimbali mfano karanga, korosho, ufuta n.k
 
Back
Top Bottom