moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Neno moja kwa bint yetu.
Na neno lingine kwa huyo aliyesababisha
Na neno lingine kwa huyo aliyesababisha
Wakiomba makocha watano lazima kuchambua ili upate mmojaAlafu unashida gani ya kuwachambua sii kazi zao tuu tayari unajua nani anakufaa.
Huyu mama yaonyesha ana pepo la ngonoEti mama chibu ni kweli ulikuwa na wanaume 6 kabla ya ujauzito wa Chibu hivyo hata Baba yake wa kweli humjui? DNA inaweza kukuumbua zaidi..
Kama kawaida atiDaah imebidi tu niangalie hata trailer, nimewamiss macho madogo
#naniliu_ipoo?😋
AminMungu atupe siku njema [emoji120][emoji120]