Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1611031879125.jpg
 
Wakuchambua ni hao wa nje. Within ur own borders u should know who is the the right coach for ur club. Kama hujui kocha anaefaa kwa klabu yako ndani ya nchi yako basi kuna shida hapo.
Nchi hii ina kocha mmoja mwenye mafanikio makubwa kwenye ngazi ya klabu kuliko wote.
Lakini hakuna anayemjali wala kumpa heshima yake.
Ndiyo maana naona kauli hiyo ya CEO ni danganya toto
 
Nchi hii ina kocha mmoja mwenye mafanikio makubwa kwenye ngazi ya klabu kuliko wote.
Lakini hakuna anayemjali wala kumpa heshima yake.
Ndiyo maana naona kauli hiyo ya CEO ni danganya toto
Bora wee umeliona hilo. Yaani sie waafrika kwa ujumla ni hovyo sana.
Ebu chukulia kama haya mashindano ya chan...unakuta timu head coach ni foreigner.....mashindano yalikuwa meant for local players businpia tunatakiwa kutumia nafasi hiyo kupromote local coaches.
 
Back
Top Bottom