Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1611310177448.jpg
 
Inasemekana kumbe baadhi ya hao wezi wa kura wana members of their families kule ubeberuni 🤣🤣🤣kwa hiyo wanaweza kufukuzwa wakati wowote ule.
Yes. Back to decency. Hata walioiba kura mwaka Jana wakae chonjo. Democrats huwa hawana mchezo. Tunaweza kujikuta tunalimwa full blown economic sanctions!
 
Back
Top Bottom