Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1611330345608.png
 
Alidhani Urais ungekuwa mzuri kwa biashara zake but instead a vice versa. Mimi nilianza kustuka kwamba biashara zake ni ubabaishaji pale watoto wake wote wakubwa walipoamua ile 2016 nao kuhamia DC badala ya kuendelea kusimamia biashara zao hasa NY. Wote walitaka kujiingiza kwenye siasa 2024 lakini kushindwa kwa Baba yao kunaweza kukasababisha ugumu wa wao kujiingiza huko.
Nasikia amezikuta biashara zake zina hali mbaya kifedha. Na kasheshe ya kufungiwa na mabenki na makampuni mengi kugoma kufanya naye biashara kuna hatari ya kudeclare bankruptcy kama ilivyo kawaida yake.
 
Back
Top Bottom