moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
nimecheka sana kama mchimbaji wa ruby aliyefanikiwa kuona mali machimboni.Utakua kama mkorea ebo eti kastaafu kumbe halotel wabayaaaa😂😂😂😂😂😂
Huwa linanitokea kwa muda kisha hali inarudi sawaJf naona imepata tatizo la kufungua picha au hili naliona Mimi tu
wakorea nakuwachia weweeeeeee😂😂😂😂😂😂mkorea janja sana
nimecheka sana kama mchimbaji wa ruby aliyefanikiwa kuona mali machimboni.
wewe mwanamke endelea kuzihesabu tarehe zangu za kutundika daluga.
kipi kitatokezea baadae?
====================
- kufuata nyayo za paul scholes au zinedine zidane.
halotel wamefanyaje tena, bado nakula neema za wapemba wenzangu
Sawa mkuuHuwa linanitokea kwa muda kisha hali inarudi sawa