BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
😂siku wakiniondolea free wifi sijui itakuwaje
Yes. Back to decency. Hata walioiba kura mwaka Jana wakae chonjo. Democrats huwa hawana mchezo. Tunaweza kujikuta tunalimwa full blown economic sanctions!Mambo hayo! Bideni anatupenda sana Watanzania siku ya pili kishapitia file letu muhimu ili tuweze kuuchangamkia ubeberu.
Nitapunguza Kilo nyingi sana😬, Zile playlist toka kwa kina VE's, Maua ya Bene je!. Clip fupi fupi za kukera Man U😡, List ya muvi toka kwa babu mpemba na shangazi wa chattle😄.....Live long Wi-fiUsiDEAD TU!
Yes. Back to decency. Hata walioiba kura mwaka Jana wakae chonjo. Democrats huwa hawana mchezo. Tunaweza kujikuta tunalimwa full blown economic sanctions!
Wakulima ndio mnaoshikilia afya zetu...hongera sana
Ilikuwaje roho mbaya ikaitwa roho ya korosho? Kuna anayejua?
[emoji120][emoji120]Aleykhum Salaam
Bite force per square inch ya huyu kiumbe ni kubwa sana. Hapo atasaga kila kitu japo huwa hana uwezo wa kutafuna!