Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utakua kama mkorea ebo eti kastaafu kumbe halotel wabayaaaa😂😂😂😂😂😂
nimecheka sana kama mchimbaji wa ruby aliyefanikiwa kuona mali machimboni.
wewe mwanamke endelea kuzihesabu tarehe zangu za kutundika daluga.

kipi kitatokezea baadae?
  1. kufuata nyayo za paul scholes au zinedine zidane.
====================
halotel wamefanyaje tena, bado nakula neema za wapemba wenzangu
 
😂😂😂😂😂😂😂😂Wameondoa unlimited imekua gb 5 kwa 1500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…