moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]
Poleni wa sokoni,saluni na dukani...
🙏🙏[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1691965
kweli kamandaSiku inaelekea ukingoni
Oooh! Tushukuru sana kwamba sote tu wazima kwa sababu ziraili mtoa roho siku hizi halali. Mtu mnaongea naye leo mzima kesho unaambiwa kazima! Inasikitisha sana.Kamanda SHIMBA YA BUYENZE.
Habari za majukumu.
Sisi tupo kamanda ingawa kukosekana kwako, kukosekana Mzee wa liver, mgumu Yegomasika na shemejio Carbamazepine kumeutikisa uzi wetu pendwa