BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Amin, hali yakoMungu atuepushe na magojwa
Nzuri mpendwa za kwako piaAmin, hali yako
Tumefurahi u mzima mpendwa wetuOooh! Tushukuru sana kwamba sote tu wazima kwa sababu ziraili mtoa roho siku hizi halali. Mtu mnaongea naye leo mzima kesho unaambiwa kama! Inasikitisha sana.
Uzi wetu huu hauwezi kufa. Tutakuwa tunapotea tu na kurudi. Cha muhimu tu tubakie hai...
Asante sana kamanda
Aisee...Meseret Mebrate View attachment 1692084
Sawasawa Mkuu.. sisi wazima na tuombeane uzima tu ndio muhimu..Natumaini inaendelea vizuriOooh! Tushukuru sana kwamba sote tu wazima kwa sababu ziraili mtoa roho siku hizi halali. Mtu mnaongea naye leo mzima kesho unaambiwa kama! Inasikitisha sana.
Uzi wetu huu hauwezi kufa. Tutakuwa tunapotea tu na kurudi. Cha muhimu tu tubakie hai...
Asante sana kamanda