myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mchana wa kula...
Karbu tena Bro!!! Tulimiss uwepo wako hapa jukwani...Oooh! Tushukuru sana kwamba sote tu wazima kwa sababu ziraili mtoa roho siku hizi halali. Mtu mnaongea naye leo mzima kesho unaambiwa kama! Inasikitisha sana.
Uzi wetu huu hauwezi kufa. Tutakuwa tunapotea tu na kurudi. Cha muhimu tu tubakie hai...
Asante sana kamanda
Kwa Mama NtilieWapi hiyooo
ngoja na sisi tuje kulike na kulaikiana 😀