Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20210124_223601_371.jpg
 
Mwenyezi Mungu TUNAKUOMBA Utulinde na changamoto ya kupumua, pumu, presha, degedege na magonjwa yote yanavyosababishwa na homa kali ya mapafu inayoletwa na ugonjwa wa COVID 19.

Nchi yetu ni masikini sana, haina uwezo wa kuwahudumia wagonjwa wengi kwa wakati mmoja, haina uwezo wa kuwaweka watu majumbani, haina uwezo wa kuajili madakatari wengi kuhudumia makundi makubwa ya wagonjwa.
Yaraab, hatuna kimbilio ila wewe.
Mwenyezi Mungu tunakuomba tunasuru na ha
Janga hilo

Aamin[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom