Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tumefurahi u mzima mpendwa wetu
Sawasawa Mkuu.. sisi wazima na tuombeane uzima tu ndio muhimu..Natumaini inaendelea vizuri
Asanteni wapendwa. Tumshukuru Mungu kwa yote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Karbu tena Bro!!! Tulimiss uwepo wako hapa jukwani...
Hope uko poa wewe pamoja na wapendwa wako hapo ulipo!