moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeah! Labda kiingereza cha chato! Lakini cha Waingereza hukijui asilani.
View attachment 1692564
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wekeni picha ambayo hajajikandika mamekapu [emoji16][emoji16][emoji16]Ndiyo hivyo.
Kuna binadamu hapa Duniani Mwenyezi Mungu amewajaaliwa sana.
Hebu mcheki mama mtu mzima anavyoonekana kama kabinti ka miaka 20 tuView attachment 1692655
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mwenyezi Mungu TUNAKUOMBA Utulinde na changamoto ya kupumua, pumu, presha, degedege na magonjwa yote yanavyosababishwa na homa kali ya mapafu inayoletwa na ugonjwa wa COVID 19.
Nchi yetu ni masikini sana, haina uwezo wa kuwahudumia wagonjwa wengi kwa wakati mmoja, haina uwezo wa kuwaweka watu majumbani, haina uwezo wa kuajili madakatari wengi kuhudumia makundi makubwa ya wagonjwa.
Yaraab, hatuna kimbilio ila wewe.
Mwenyezi Mungu tunakuomba tunasuru na ha
Janga hilo
Aamin[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Lakini kamanda hata makeup inadunda kwenye makunyanziWekeni picha ambayo hajajikandika mamekapu [emoji16][emoji16][emoji16]
Simba dume. Wakati mwingine likiingia kwenye himaya nyingine na kukuta kuna vitoto vya kiume huviua na kumzalisha mama liliyemkuta na hivyo vitoto. View attachment 1692659
Numbisa unacheka nini ati? πππ View attachment 1692674