Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siasa zikitawala mpaka kwenye mambo yanayohusu sayansi ni hatari. Trump alifanya huu utopolo akagoma kuwasikiliza wanasayansi. Hata hatua za kuvaa mask tu, social distancing na kunawa mikono hakutaka kuzisikia. Matokeo yake watu laki nne (and counting) wameteketea.

Hizi dawa zinazopigiwa chapuo zinafanya kazi? Zimethibitishwa kisayansi? Hata kama hatutaki chanjo na madawa ya mabeberu, majukumu haya ya kutangaza madawa waachiwe wanasayansi wetu kea sababu wao ndiyo wanajua. Siasa iwe na kikomo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…