Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mlo tayari...
2.5054797255861284E18.jpg
 
Naam kajikita kule sasa hivi ila anakosa visibility kubwa aliyokuwa nayo kama Mkuu wa Mkoa.
Wagonjwa wa narcissistic personality disorder hawa dizaini ya akina Trump. Bila kuwa na jukwaa la kujimwambafai na kudogosha, kujivuna na kudhalilisha wengine hawapati amani ya moyo. Nilifikiri pengine daddy wake angempa ubunge wa kuteuliwa na baadaye uwaziri wa mambo ya ndani lakini naona kimyaaa....
Screenshot_20210212-124914_Google.jpg
 
Mimi pia nilidhani hivyo, ila sidhani miezi 24 ijayo itakatika kabla ya kupewa wadhifa mkubwa tena hasa Uwaziri kamili. Anatuzuga tu Watanzania lakini katika watu anaotaka kuwaachia Ikulu kama kweli ataondoka huyu ni among top 3.
Wagonjwa wa narcissistic personality disorder hawa dizaini ya akina Trump. Bila kuwa na jukwaa la kujimwambafai na kudogosha, kujivuna na kudhalilisha wengine hawapati amani ya moyo. Nilifikiri pengine daddy wake angempa ubunge wa kuteuliwa na baadaye uwaziri wa mambo ya ndani lakini naona kimyaaa....
View attachment 1701009
 
Mimi pia nilidhani hivyo, ila sidhani miezi 24 ijayo itakatika kabla ya kupewa wadhifa mkubwa tena hasa Uwaziri kamili. Anatuzuga tu Watanzania lakini katika watu anaotaka kuwaachia Ikulu kama kweli ataondoka huyu ni among top 3.
God forbid! Huyu hawezi kuwa rais jamani. Hivi kwanza ana digrii? Si walibadilisha sheria chapuchapu ili kumwengua Mrema kipindi kile?

Wengi wanasema ni Rais wa Zanzibar wa sasa; au hata akina Makamba na Anthony Mtaka. Makonda urais hawezi !!!
 
Well tunaanza kusoma history ya Tanzania?
Then, Tanzania ilianza lini?
Kati ya Tanganyika na Tanzania nani mkubwa?
Where is Tanganyika? Nimechanganyikiwa.
Ni nani ha exist kati ya Tanzania na Tanganyika?
Huwa tunasema uhuru wa Tanzania au wa Tanganyika?
 
Mkuu Bongo hii usishangae 2024 ukaambiwa huyu naye ana Degree. Wengi tulijua kwamba katika wagombea wa ccm 2015 magufuli alikuwa wa mwisho kabisa kutarajiwa kuingia Ikulu, lakini wote tunayajua yaliyojiri na huu uchaguzi wa juzi kama ungekuwa huru na wa haki si ajabu angeshindwa kwa kishindo lakini polisiccm na tumeccm wakafanya yao.

God forbid! Huyu hawezi kuwa rais jamani. Hivi kwanza ana digrii? Si walibadilisha sheria chapuchapu ili kumwengua Mrema kipindi kile?

Wengi wanasema ni Rais wa Zanzibar wa sasa; au hata akina Makamba na Anthony Mtaka. Makonda urais hawezi !!!
 
Well tunaanza kusoma history ya Tanzania?
Then, Tanzania ilianza lini?
Kati ya Tanganyika na Tanzania nani mkubwa?
Where is Tanganyika? Nimechanganyikiwa.
Ni nani ha exist kati ya Tanzania na Tanganyika?
Huwa tunasema uhuru wa Tanzania au wa Tanganyika?
Polepole bageshi [emoji16][emoji16][emoji16]

Ulīmhola nkoyi wane?

Mzee wako wa Mwakaleli hajambo? Hajaonekana hapa siku nyingi
 
Nalemhola kaka, kwakweli nimechanganyikiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Huyo mzee atakuwa mzima kbs, juzi kanicheck whtssp. Tunakaribia kuyajenga tuanze upya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom