Tanzania ipi jamani? Kwani hii history inayofundishwa sasa hv haikidhi vigezo? Ama twaacha history ya Tanganyika na tunaanza ya Tanzania?Kila kitu anajua yeye!!! Akiamua yeye basi ni sheria! Hakuna hata mjadala!!! [emoji22][emoji22][emoji22]
Tanzania ipi jamani? Kwani hii history inayofundishwa sasa hv haikidhi vigezo? Ama twaacha history ya Tanganyika na tunaanza ya Tanzania?Kila kitu anajua yeye!!! Akiamua yeye basi ni sheria! Hakuna hata mjadala!!! [emoji22][emoji22][emoji22]
Tanzania ipi jamani? Kwani hii history inayofundishwa sasa hv haikidhi vigezo? Ama twaacha history ya Tanganyika na tunaanza ya Tanzania?
Hatari sanaHuyo jamaa kwa KUKURUPUKA na maamuzi yasiyo na tija ndiyo mwenyewe. Usikute history kuhusu Tanganyika ndiyo inaenda kuwekwa kapuni kwa sababu tu ya matakwa ya mtu mmoja ambaye hajui chochote kuhusu sekta ya elimu.
Hatari sana
Mshindweeeee [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Nalemhola kaka, kwakweli nimechanganyikiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Huyo mzee atakuwa mzima kbs, juzi kanicheck whtssp. Tunakaribia kuyajenga tuanze upya [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti Mungu awanusuru na kuwafanyia wepesi. Mkuu ushindwe!!! [emoji16][emoji16][emoji16]Mpaka tufike 2025 nchi itakuwa katika hali mbaya sana kama ataendelea kuwepo. Mwenyezi Mungu atunusuru na kutufanyia wepesi. Maskini Tanzania yetu!!!! [emoji22][emoji22][emoji22]
Eti Mungu awanusuru na kuwafanyia wepesi. Mkuu ushindwe!!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha kaka tulia, subiri kupewa taarifa rasmi. Hapa imebaki hatua moja tu mambo yawe[emoji91][emoji91][emoji91]Mshindweeeee [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Hana maana yule mzee...