Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aliyemdanganya kuacha ukuu wa mkoa na kugombea ubunge hatakaa amsahau...ila inasemekana ni mtu mkubwa tu kule kwenye kitengo chetu [emoji16]
Aliyemdanganya kuacha ukuu wa mkoa na kugombea ubunge hatakaa amsahau...ila inasemekana ni mtu mkubwa tu kule kwenye kitengo chetu [emoji16]
Wagonjwa wa narcissistic personality disorder hawa dizaini ya akina Trump. Bila kuwa na jukwaa la kujimwambafai na kudogosha, kujivuna na kudhalilisha wengine hawapati amani ya moyo. Nilifikiri pengine daddy wake angempa ubunge wa kuteuliwa na baadaye uwaziri wa mambo ya ndani lakini naona kimyaaa....Naam kajikita kule sasa hivi ila anakosa visibility kubwa aliyokuwa nayo kama Mkuu wa Mkoa.
Wagonjwa wa narcissistic personality disorder hawa dizaini ya akina Trump. Bila kuwa na jukwaa la kujimwambafai na kudogosha, kujivuna na kudhalilisha wengine hawapati amani ya moyo. Nilifikiri pengine daddy wake angempa ubunge wa kuteuliwa na baadaye uwaziri wa mambo ya ndani lakini naona kimyaaa....
View attachment 1701009
God forbid! Huyu hawezi kuwa rais jamani. Hivi kwanza ana digrii? Si walibadilisha sheria chapuchapu ili kumwengua Mrema kipindi kile?Mimi pia nilidhani hivyo, ila sidhani miezi 24 ijayo itakatika kabla ya kupewa wadhifa mkubwa tena hasa Uwaziri kamili. Anatuzuga tu Watanzania lakini katika watu anaotaka kuwaachia Ikulu kama kweli ataondoka huyu ni among top 3.
God forbid! Huyu hawezi kuwa rais jamani. Hivi kwanza ana digrii? Si walibadilisha sheria chapuchapu ili kumwengua Mrema kipindi kile?
Wengi wanasema ni Rais wa Zanzibar wa sasa; au hata akina Makamba na Anthony Mtaka. Makonda urais hawezi !!!
Polepole bageshi [emoji16][emoji16][emoji16]Well tunaanza kusoma history ya Tanzania?
Then, Tanzania ilianza lini?
Kati ya Tanganyika na Tanzania nani mkubwa?
Where is Tanganyika? Nimechanganyikiwa.
Ni nani ha exist kati ya Tanzania na Tanganyika?
Huwa tunasema uhuru wa Tanzania au wa Tanganyika?
Well tunaanza kusoma history ya Tanzania?
Then, Tanzania ilianza lini?
Kati ya Tanganyika na Tanzania nani mkubwa?
Where is Tanganyika? Nimechanganyikiwa.
Ni nani ha exist kati ya Tanzania na Tanganyika?
Huwa tunasema uhuru wa Tanzania au wa Tanganyika?
Nalemhola kaka, kwakweli nimechanganyikiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787].Polepole bageshi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ulīmhola nkoyi wane?
Mzee wako wa Mwakaleli hajambo? Hajaonekana hapa siku nyingi
Ndio maana mm nimejikuta nachanganyikiwa [emoji28][emoji28][emoji28]
Ndio maana mm nimejikuta nachanganyikiwa [emoji28][emoji28][emoji28]
AminMungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji120]
Amin[emoji120][emoji120]Poleni wagonjwa wote...
Jamaa yupi mkuu?Sijamfahamu ni nan huyu jamaa?
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]