Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyo jamaa kwa KUKURUPUKA na maamuzi yasiyo na tija ndiyo mwenyewe. Usikute history kuhusu Tanganyika ndiyo inaenda kuwekwa kapuni kwa sababu tu ya matakwa ya mtu mmoja ambaye hajui chochote kuhusu sekta ya elimu.
Tanzania ipi jamani? Kwani hii history inayofundishwa sasa hv haikidhi vigezo? Ama twaacha history ya Tanganyika na tunaanza ya Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…