moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Salaam mzeeUpendo ukatutawale sasa hata milele.
Mungu ni mwema wakati wote[emoji120]
Shemeji habari ya mwaka mpya?Amen shemeji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Heri ya siku ya wapendanao mzee wa pwani, Mungu atujaalie afya njema [emoji120]Salaam mzee
Tumepokea upendo wako
Hata huku moto bado unawaka shemeji ila angalau kuna mwongozo - kuvaa barakoa, social distancing, sanitizer kila mahali na chanjo zinaunguruma. Chanjo walianza na wazee, watu wenye afya mgogoro na wafanyakazi muhimu (watu wa afya, mapolisi, wauzaji madukani na sasa wanahamia kwa walimu, madereva wa mabasi, vinyozi, wafanyakazi wa maduka ya urembo na ye yoye ambaye kazi yake inamlazimisha akutane na watu kwa ukaribu).Shemeji habari ya mwaka mpya?
Tuzidi kujilinda, ni namba tu imebadilika ila maumivu ni yale yale ya mwaka jana.
Kila nukta ya muda tuipatayo tujiweke karibu na Mwenyezi Mungu,hali ni mbaya shemeji
"Faraja hutibu"Hata huku moto bado unawaka shemeji ila angalau kuna mwongozo - kuvaa barakoa, social distancing, sanitizer kila mahali na chanjo zinaunguruma. Chanjo walianza na wazee, watu wenye afya mgogoro na wafanyakazi muhimu (watu wa afya, mapolisi, wauzaji madukani na sasa wanahamia kwa walimu, madereva wa mabasi, vinyozi, wafanyakazi wa maduka ya urembo na ye yoye ambaye kazi yake inamlazimisha akutane na watu kwa ukaribu).
Sisi wengine pengine mwezi ujao mwishoni au April ndiyo chanjo zitapatikana. Ndiyo mategemeo yako huko lakini watu (hasa wazee) wanaendelea kuteketea japo sasa idadi ya vifo imeanza kushuka sehemu nyingi na wanasema ni matokeo ya chanjo yameanza kuonekana.
Ndivyo mwaka mpya unavyoendelea shemeji. Chukueni tahadhari sana na kufuata masharti yote na kusali. Muhimu sana pia kuwekeza kwenye vyakula na virutubishi vya kuimarisha kinga ya mwili, mazoezi kidogo, maji kwa wingi, usingizi wa kutosha na kutokuwa na hofu wala msongo wa mawazo. Kwa neema ya Mungu bila shaka tutavuka salama shemeji - sisi na wapendwa wetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ndiyo. Jitahidi upate kama hii. Hii nimepewa na daktari wangu. Ina Vitamin C, D na Zinc ya kutosha. Unakunywa kidonge kimoja tu kwa siku. Ukiongezea na matunda na hizo tangawizi; na kuchukua hatua zingine angalau inakupunguzia hofu - hata kama ni placebo tu..."Faraja hutibu"
Ahsante sana shemeji, ila ni MUNGU tu [emoji120][emoji120]
Tunaendelea kubugia tangawizi japo bei inazidi kupaa. Nikirudi mjini itabidi nikahangaikie kutafuta zile supp...
Ahsante shemeji, Mungu azidi kukubariki na akujaalie afya njema na maisha marefu. Hii kitu ni muhimu sana kwa sasa.Ndiyo. Jitahidi upate kama hii. Hii nimepewa na daktari wangu. Ina Vitamin C, D na Zinc ya kutosha. Unakunywa kidonge kimoja tu kwa siku. Ukiongezea na matunda na hizo tangawizi; na kuchukua hatua zingine angalau inakupunguzia hofu - hata kama ni placebo tu...
View attachment 1702299
Nashukuru sana jirani.Heri ya siku ya wapendanao mzee wa pwani, Mungu atujaalie afya njema [emoji120]