myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku uwe mwema 🙏🙏
Mkuu Mungu atulinde🙏🙏🙏Hata huku moto bado unawaka shemeji ila angalau kuna mwongozo - kuvaa barakoa, social distancing, sanitizer kila mahali na chanjo zinaunguruma. Chanjo walianza na wazee, watu wenye afya mgogoro na wafanyakazi muhimu (watu wa afya, mapolisi, wauzaji madukani na sasa wanahamia kwa walimu, madereva wa mabasi, vinyozi, wafanyakazi wa maduka ya urembo na ye yoye ambaye kazi yake inamlazimisha akutane na watu kwa ukaribu).
Sisi wengine pengine mwezi ujao mwishoni au April ndiyo chanjo zitapatikana. Ndiyo mategemeo yako huko lakini watu (hasa wazee) wanaendelea kuteketea japo sasa idadi ya vifo imeanza kushuka sehemu nyingi na wanasema ni matokeo ya chanjo yameanza kuonekana.
Ndivyo mwaka mpya unavyoendelea shemeji. Chukueni tahadhari sana na kufuata masharti yote na kusali. Muhimu sana pia kuwekeza kwenye vyakula na virutubishi vya kuimarisha kinga ya mwili, mazoezi kidogo, maji kwa wingi, usingizi wa kutosha na kutokuwa na hofu wala msongo wa mawazo. Kwa neema ya Mungu bila shaka tutavuka salama shemeji - sisi na wapendwa wetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
🙏👍Mboga zetu, tiba zetu View attachment 1702396
.....Ameen....Amani itawale usiku wetu [emoji120]