moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Teh!!..najua kucheza na miguu/mguu wa mwanamke hasa kama type ya hiyo miguu na vidole vyake bhageshi.Bageshi. Basi tuna ugonjwa unaofanana. Lakini unajua jinsi ya kucheza nayo mpaka mtoto wa watu akatetema tetema na kujikunja kunja kama kiwavi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211]