moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
KabisaInatisha sana tujikinge na kuepuka misongamano.
Ndani ya mwendokasi...
View attachment 1704909
Ngoja nisake wengineTena uchane mwenyewe nadhani unamjua yule kibosile ambaye pia anachapa sana pale WWE aitwaye Triple H.
Ndiye mkewe huyo
Changamoto ya upumuaji hiyoSiku moja ya jumatano February 17 tumeondokewa na watu wanne maarufu.
Hatujui ni kiasi gani cha watu wasio maarufu wamefariki.
Mwenyezi Mungu Tunusuru na haya majaribuView attachment 1705390