Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1610271317466.jpg
 
mwaka 1987 maalim seif akiwa waziri kiongozi alifanya ziara ya kiserikali maeneo ya mashariki ya kati kwa lengo la kuitangaza nchi ya zanzibar kidiplomasia na kiuchumi, pia ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kufika singapore na alivutiwa sana na na mfumo wa uendeshaji nchi ya singapore ndio maana hata yeye alitamani kuifanya zanzibar kuwa kama singapore nyakati za uhai wake

ismail jussa
 
katika safari zake binafsi mara moja huko Dubai, maalim seif alibadilishana briefcase kwa bahati mbaya na mfanyabiashara wa Asia... kwenye briefcase hiyo ilikuwa na mamilioni ya dola.

kikubwa alichofanya maalim ni kutafuta contact za bwana huyo kwenye begi na hatimaye kumtafuta kwa lengo la kumrudishia begi lake

by ismail jussa
 
propaganda za msasani yeye na mwalimu nyerere.
Ismail jussa anaendelea kusema:

hiyo siku maalim hakuwa peke yake, alikuwepo hamad rashid, shaban mloo....lengo la safari hiyo ni kuelezea malengo au dhamira kuu za kuanzishwa kwa chama cha cuf kwa kila kiongozi mkubwa.

hiyo briefcase iliopo kwenye meza imekusanya katiba ya CUF, ilani pamoja na hotuba za maalim seif zinazozungumzia malengo na maudhui ya kuanzishwa kwa chama cha CUF.
=======================
afadhali Jussa amekata mzizi wa fitina, wengi wetu tulidanganywa na hii picha
1613839734542.png
 
View attachment 1707629
Mwaka gani mkuu?
 
Back
Top Bottom