BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
1993Mwaka gani mkuu?
Nakupata mkuu endelea.maalim hakuwa na nyumba ya kukaa licha ya kuwa na nyadhifa kubwa kwa takribani miaka 40.
Hiyo ilikuwa miaka ya awali wakati mfumo wa vyama vingi vinaruhusiwa kisheria.Mwaka gani mkuu?
Mkuu Ulikuwepo wakati ule?1993
Usiseme. Sie wengine tupo siasani tangu teenage.Mkuu Ulikuwepo wakati ule?
Maana wakati huo sisi wahenga wa leo ndiyo tulikuwa vijana wapenda siasa kwelikweli[emoji23][emoji23]
Duh...Fundi Maiko amepitaView attachment 1707284
Duh..Ewaaaaaaa! View attachment 1707538