D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
hiyo miguu pia imepakwa makeup?
Historia nzuri sana.Hapo tena nae manyanyaso serikalini yalimtosha na kuomba ruhusa ya likizo bila malipo kwenda kusoma, ombi ambalo nalo hakuruhusiwa na hivyo akaamuwa mwenyewe kuondoka na kwenda kujisomesha kwa fedha zake huko Chuo kikuu cha Manchester Uingereza.
12. Wakati alipofika huko, akatumiwa barua ya kuachishwa kazi na kupoteza haki zake zote za miaka 18 ya utumishi serikalini.
13. Mwaka 1995 uchaguzi wa vyama vingi ulipoanza ndipo akateuliwa kuwa Mgombea mwenza wa Prof. Ibrahimu Lipumba wakati bado hajakamilisha digrii yake ya pili (shahada ya uzamivu ya uongozi na utawala).
14. Hivyo ndivyo harakati za kuingizwa kwenye siasa zilivyoanzwa katika maisha yake.
Asalaam AlyeikumChat na picha
Kwema mpendwaChat na picha
AseeKUTESWA WAZEE WAKE NA NA YEYE MWENYEWE KWA SABABU ZA KISIASA:
Mwaka 1972, aliuliwa marehemu Mzee Abeid Amani Karume. Wakati huo Babu ndio kwanza amemaliza masomo yake ya darasa la 14 hapo skuli ya sekondari ya Lumumba. Katika hali ya uonevu mkubwa na usio wa kawaida baba yake mzazi akakamatwa na kuwekwa kizuizini kwa kile kilichoelezwa kwamba ni mganga wa kienyeji aliyesaidi kumroga Mzee Karume ili auwawe.
siasa ya zanzibar ni kamari dhidi ya uhai na muda wako.Historia nzuri sana.
Ila daaaa, siasa za Zanzibar zinawaumiza wengi[emoji849]