Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

swadakta, swadakta.
mzizi wa tatizo ulianzia hapo
 
Imejaa..
 
alikuwa na maneno ya ovyo sana yule mzee.....
hotuba zake kama huna uvumilivu huzisikilizi
Kwa siasa za wakati ule CCM Zanzibar walitakiwa kuwa na mtu kama yeye.
Kumbuka yaliyomkuta Idrissa Abdulwakil.
Mzee yule ameshindwa kuvumilia Kebehi za wapinzani wake kisiasa kiasa cha kuachana na miaka yake mitano ya mwisho.
Salmin Amour alikuwa Jabari la siasa za kizazi kipya
 
Imejaa
Imejaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…