Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

sielewi ni upande upi uliotangulia mwanzo kati ya dini au imani na utamaduni wa eneo husika linapokuja suala la mazishi na mambo mengineyo yanayomuhusu mwanadamu.

nikiangalia maziko ya wakristo wengi wao wanauhifadhi mwili wa marehemu na sanduku lake kwenye kaburi huku ukiwa umevishwa mavazi, pia sielewi ya kwamba huo ulikuwa ni utamaduni wa watu tokea mwanzoni kutokana sababu tofauti ikiwemo geografia au ni imani ya dini ya ukristo ndio ulikuja na sheria hiyo
===========================
sisi waislamu maiti hazikwi na jeneza (sanduku), sielewi ya kwamba huo nao ulikuwa ni utamaduni wa waarabu tokea mwanzoni au ni imani ya dini ya kiislamu ndio ilikuja na sheria hiyo.

utofauti mkubwa ninaouona ni huu, mfumo wa maziko ya kiislamu hayabadiliki
  1. waislamu wana vazi rasmi, maiti anavishwa sanda nyeupe iliofungwa mfano wa pipi atake asitake ndio sheria hiyo
  2. mfumo wa kaburi ndio huo huo bila ya kujali cheo na heshima ya marehemu hapa ulimwenguni. Patachimbwa shimo lisilojengewa, ndani ya shimo patachimbwa tena eneo lenye upana wa nyanda moja (pima nyanda moja kwa mkono wako) na hapo ndipo utakapolazwa, uwe mwembamba, mnene, tajiri, masikini utawekwa kwenye nyanda moja
  3. mwili pekee ndio utakaozikwa ardhini, sanduku au jeneza litarudishwa sehemu husika (mara nyingi jeneza ni miliki ya msikiti hivyo basi marehemu hatengewi bajeti ya kununuliwa jeneza)
=============
 
Kwenye telegram natafutaje?
mbona the oval yenyewe ni series na si movie kama ulivyogusia hapo mwanzo.
au majina yanafanana
  1. kama unatumia window 10 nenda kwenye playstore yao na upakue telegram then apply procedures zake
  2. ifungue, kwenye search andika hicho unachokihitaji
  3. chagua channel, download episode uitakayo
mfano kwangu mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…