Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Twaomba Darasa kidogo babu☹
tovuti yake

ikifunguka chagua download classic


ukibonyeza kwa pc itafunguka menu, itategemea na uwezo wako.
mimi nimechagua ya bure, no vpn utajuana na wahuni


download then fanya installation ya setup.

ukiifungua inakuwa hivi, hapo sijapakuwa au download chochote


hakikisha unazijua tovuti za torrent, zipo nyingi ikiwemo piratebay ila mimi nimezowea hii
ikifunguka search unachohitaji, kwa mfano nimetafuta the oval na zitakuja taarifa zote zinazohusu the oval


chagua hitaji lako then itafunguka hivi, chagua hilo neno magnet


atakwambia hivi, anakutaka ufungue torrent yako

zitaload files baaadae zikikamilika bonyeza ok na dowload process itaanza
uzuri wa torrent unaweza kudownload hata file lenye ma gb kadhaa kwa mfano completed series.
unaweza kudownload na kupause mwaka mzimaaaaaaa
 

Attachments

  • 1614463657470.png
    34.5 KB · Views: 9
FALSAFA 0058

Timiza kile Mungu ameongea na wewe, usipoteze muda kusikiliza wanadamu, wapo tu na wenyewe yao yanawashinda tena kuliko hata wewe.

Mungu huongea na mtu haongei na watu. Aliongea na Ibrahimu sio watu, Aliongea na Musa, siyo watu, aliongea na Paulo siyo watu.

Usitumie muda wako kujieleza kwa watu. Kazana kutimiza ulichosikia kwa Mungu. Watakuelewa kwa kazi yako na si kujieleza kwako.

#TimizaMaono
Feb 27, 2021
 
Sawasawa
 
Asante sana Mpemba kwa shule nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…