moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nipo bro sema majambo tu yananikamata ndio mana napotea hapa ndani, siwezi badili hii ID naipenda sanaHivi Davet alipotelea wapi? Au alishabadili ID? Alikuwa anapenda sana hizi biscuit za Belvita. Nimeziona nikamkumbuka...
View attachment 1711255
Mambo gani wewe!! Si uwatajie tu ile nyingine πNipo bro sema majambo tu yananikamata ndio mana napotea hapa ndani, siwezi badili hii ID naipenda sana
Aah! Belvita ππHivi Davet alipotelea wapi? Au alishabadili ID? Alikuwa anapenda sana hizi biscuit za Belvita. Nimeziona nikamkumbuka...
View attachment 1711255
Aaah! Jamani jamani mbona hakuna hiyo nyingine, hata ikiwepo sidhani kama naweza kuimuduMambo gani wewe!! Si uwatajie tu ile nyingine π
Mchana wa kula...
Ukimpata utamsalimia sana, kitambo sanaWapi Ningendako? Kabadili ID au ni ban? Simpati...
Mchana wako umeenda vizuri sana β
Nafurahi kukuona tena DYuko hapa D π
Nilikuhamu π