Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Watu na pesa zao. Jamaa naona kaamua kuzikwa na BMW/Rolls-Royce? yake....
[emoji120][emoji120]Jumapili iwe ya amani na utulivu
Tako kama hilo ni kero, halafu hilo no mchina kabisa.
The legend [emoji7][emoji7]
Amin, na iwe siku njema kwetu sote [emoji120]Allah Muumba mbingu na ardhi tunakuomba utujaalie kila la kheri waja wako kwenye siku hii nyingine.
Kila zito likawe jepesi, kila gumu ulipe wepesi.
YARAB Ìkinge Dunia dhidi ya maradhi mabaya ya kuambikiza na yale yasiyo ya kuambukiza.
YARAB Wasamehe wenzetu waliotangulia mbele ya haki.
Twakuomba uyafanye makaburi yao kuwa mabustani kama yalivyo mabustani ya peponi, yasiwe mashimo kama yalivyo mashimo ya motoni.
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]
Wanafanya Kufuru.Watu na pesa zao. Jamaa naona kaamua kuzikwa na BMW/Rolls-Royce? yake....
View attachment 1718962
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kero inaanzaje kwa mfanoTako kama hilo ni kero, halafu hilo no mchina kabisa.
Wacha niendelee kubaki tu hivi hivi nilivyo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Amin, na iwe siku njema kwetu sote [emoji120]
Kubwa sana hilo jirani hahahahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kero inaanzaje kwa mfano