BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mdudu wa baharini anayependwa na walajiMdudu maarufu mikoa ya Pwani.
[emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]
Ni kweli, uwanja unakuwa pweke mpaka unaboaSikutegemea MANC wapigwe ila kuangalia mpira bila ya kuwepo watatazamaji is very boring watazamaji manjonjo yao yanaongeza utamu wa game.
Jirani vipi kuna nini?Kheri jirani, ila leo, daaah; ngoja tu nikaushe. [emoji28]
[emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]
Msemaji vs Mtangazaji.
Mtanange unaendelea View attachment 1719748