Kwa mujibu wa takwimu za Muungano wa Kimataifa wa Uhifadhi wa Asili (IUCN), okapi ni aina ya viumbe walio hatarini. Ingawa haijulikani ni wangapi wanasalia porini, wanasayansi wanakadiria kwamba idadi yao inaweza kuwa imepunguzwa kwa nusu katika miongo miwili iliyopita.
Barcelona inayokabiliwa na changamoto za kifedha huenda ikashindwa kumnunua mshambuliaji wa Wolves na Uhispania aliye na umri wa miaka 25, Adama Traore. (Mundo Deportivo - in Spanish)
Manchester United wako gizani kuhusu hatma ya kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba,27, kwasababu hakuna majadiliano yoyote yanayoendelea kati ya klabu hiyo na ajenti wake Mino Raiola. Mkataba wa Pogba unakamilika mwisho wa msimu huu. (Star)
Manchester United wamewasilisha dau la kutaka kumnunua winga wa Leeds Mbrazil Raphinha ,24, wakati dirisha la uhamisho wa wachezaji litakapofunguliwa. (UOL Esporte - in Portuguese)
Manchester United wanajiandaa kushindana na Atletico Madrid katika usajili wa mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt Andre Silva,25. (Todofichajes - in Spanish)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.