Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Good music [emoji445][emoji444]

Mwana Fa alichana balaa



Kila shetani ana mbuyu wake, we ni mibuyu mitatu Ukiamua unitumikishe mwenzio ntalala na viatu Najionea maajabu, najionea mapya mama angu Hakuna mapenzi ya hivi popote kwenye ulimwengu

Siwezi elezea jinsi navyokuzimia Nikicheza na moyo wako, unacheza na wangu pia Nafsi yangu ilishapotea, siwezi hata kujitetea Ka ulitoroka peponi uzuri ulivyokuenea Piga la kushoto ntageuza na la kulia Wengine hawanijaribu wanajua kitakachotokea

Sitaki mambo yaende kombo na yakienda yawahi kurudi Hatuendi nayo, hatuwezi shindwa, yaje na mapambio ikibidi Tunapishana, hatugombani then we back here Hatuendi juu, hatuendi chini, love, we right here (oh!) Hata mapenzi yakifa boo, si tubaki sawa tu Si ni watu wazima,

love hatuwezi kuishi ka underground Ujue una nusu ya moyo wangu, na nusu ilo baki kwangu Yote nakupenda wewe, una jua langu, una mwezi wangu Unatembea na roho yangu (wewe) Sio mtu tena wa mademu, we ndo Michelle Obama wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…