Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aidha, maji ya uvuguvugu yanatajwa kuwa na manufaa zaidi mwilini kuliko maji baridi, na naweza kusema kwa dhati kuwa kama utazoea kila mara kila siku kunywa maji ya uvuguvugu utaagana na magonjwa.
 
Maji hayo si ya moto kama vile chai, kwani yakiwa ya moto sana huwa na madhara kwa ngozi nyembamba ya ndani ya mdomo, ikiwemo ulimi. Lengo hapa ni kutaka kuboresha afya zetu, na si vinginevyo.
 
FAIDA ZA KUNYWA MAJI YA UVUGUVUGU
1.Yanasaidia kupunguza uzito.
Kama unasumbuliwa na uzito wa mwili wako na ungependa kuupunguza, unashauriwa kunywa maji ya uvuguvugu, kwani huweza kuongeza joto la mwili na kuupatia mwili uwezo wa kuchoma 'calories' kwa siku nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…