BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Kwani unadhani kwanini Mkapa alitaka kuwepo kwa Tume huru ya uchaguzi na yeye ni wa maccm? Acha kujitoa ufahamu!
Hakuna cha haramu bana. Maana mpaka mnamtambua Rais wenu inaonyesha misimamo imeyumba. Hata korea kaskazini walishakaa kimya kwa ishu kama hii.