Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,566
Atiiiiiii....
Kwa hiyo kwa ajili yako kumqoute mtu twice ni sufficient evidence kwamba nimepanic🤣🤣🤣🤣🤣🤣una ufinyu mkubwa wa akili hahahahaha
Judge: what is your evidence that he panicked?
Numbisa: because he quote me twice
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mpaka muda huu unaumia sana hakuna breaking news unayoaminishwa huko twitter anchovy head
Wewe nae ni wale wale sema hujapata nafasi ya kuonyesha ukatili wako ndio maana unashadidia na kushabikia kifo cha binadamu mwenzio. Mtanzania anayejitambua hajawahi tokea wote tuna akili zero ila tumezidiana nukta tuNarudia tena JITATHMINI! huna UBINADAMU hata chembe ndiyo sababu unamkubatia huyo dhalimu anayechukiwa na Watanzania wanaojitambua kutokana na maovu yake.
Ukifanya unalolijua litaenda vile unavyolijua, ila ukifanya kwa hisia basi hisia zitatawala na zaidi ya jambo linavyotakiwa kuwa.
Ni akili yako fupi kwa sababu Mimi napinga udhalimu wa jiwe kwa Watanzania basi nami ni DHALIMU!!! Na wewe unayemkumbatia jiwe na udhalimu wake si DHALIMU!!! Mpuuzi kweli wewe! JITATHMINI pia jiulize kwanini Watanzania wengi wanamuombea mabaya jiwe? Badala ya KUKURUPUKA na kuonyesha UJUHA wako hadharani.
Wewe nae ni wale wale sema hujapata nafasi ya kuonyesha ukatili wako ndio maana unashadidia na kushabikia kifo cha binadamu mwenzio. Mtanzania anayejitambua hajawahi tokea wote tuna akili zero ila tumezidiana nukta tu