Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Kwani unadhani kwanini Mkapa alitaka kuwepo kwa Tume huru ya uchaguzi na yeye ni wa maccm? Acha kujitoa ufahamu!

Hakuna cha haramu bana. Maana mpaka mnamtambua Rais wenu inaonyesha misimamo imeyumba. Hata korea kaskazini walishakaa kimya kwa ishu kama hii.
 
Kwani unadhani kwanini Mkapa alitaka kuwepo kwa Tume huru ya uchaguzi na yeye ni wa maccm? Acha kujitoa ufahamu!
View attachment 1724822
Kwann hakuleta hio ajenda wakati wake awamu ya kwanza kuelekea ya pili? Huyu huyu aliewaita wapinzani wapumbavu na malofa. No wonder siku hizi watu wanatamani JK agombee awamu ya sita
 
Kwani kuna limitations za kusema hiki kitu ni kizuri kwa Taifa letu hivyo kushauri kifanyike? 😳😳
Nani katamani JK arudi? Anarudi kwa katiba ipi!? 😳😳
Kwann hakuleta hio ajenda wakati wake awamu ya kwanza kuelekea ya pili? Huyu huyu aliewaita wapinzani wapumbavu na malofa. No wonder siku hizi watu wanatamani JK agombee awamu ya sita
 
Hakuna limitations maana hata magu akitoka madarakani naye atasema hivi na mtamsifia. Natamani mngekua na msimamo wa pamoja badala ya leo kumuona huyu adui kesho ni rafiki

Jukwaa la siasa kuna uzi wakumtaka jk agombee awamu ya sita. Katiba yetu sio strong JK akitaka kurudi anaweza pitia njia za lowassa(kulee kuzungusha mikono) na atasafishwa vizuri tu
Kwani kuna limitations za kusema hiki kitu ni kizuri kwa Taifa letu hivyo kushauri kifanyike? 😳😳
Nani katamani JK arudi? Anarudi kwa katiba ipi!? 😳😳
 
Huo ni ujinga wa hali ya juu wa kuona Mkapa au Kikwete wakipendekeza kuhusu namna ya kufanya chaguzi zetu ili ziwe HURU na HAKI basi ni makosa.

Kuanzishwa uzi wa kutaka JK agombee hakuna maana katiba inamruhusu kugombea uwe unatafakari kwa kina kabla ya kuandika ujinga.
 
Naona umepanic BAk unaanza matusi me to najua kutukana na kukashfu.

Nimesema hakuna makosa bali muwe mnaweka akiba ya maneno hata kesho magu akija ongea mnachopenda na mtamtukuzana kuwaona wengine hawana maana.

Katiba ipi unayoongelea hii hii mliyokua mnalilia nidhaifu na ina loopholes za kutosha
 
😂😂😂😂😂😂eti kukwambia ukweli ni kupanic 🤣🤣🤣🥲🤣🤣🤣
 
Hakuna ukweli bali mihemko. Sijawahi kukuambia unaandika ujinga wala kujitoa ufahamu. Una pointi ila sasa chuki zimekujaa.

Uzuri wa debate ni point zilizoshiba bila kutoa kashfa

Acha kupanic ovyo
😂😂😂😂😂😂eti kukwambia ukweli ni kupanic 🤣🤣🤣🥲🤣🤣🤣
 
Chuki nakujulia wapi hadi niwe na chuki na wewe? 😳😳😳 naandika kile ambacho ni ukweli MTUPU. Eti point zilizoshiba tangu lini wewe ukaandika point zilizoshiba? 🤣🤣🤣🤣🤣 hapo hapo hata ushauri wa Mkapa kuhusu kuwa na Tume Huru unaupinga halafu unadai una point zilizoshiba hahahahaha
Hakuna ukweli bali mihemko. Sijawahi kukuambia unaandika ujinga wala kujitoa ufahamu. Una pointi ila sasa chuki zimekujaa.

Uzuri wa debate ni point zilizoshiba bila kutoa kashfa

Acha kupanic ovyo
 
Kila kitu unatwist daah nasema una chuki kubwa na magu sio mie anonymous

Sijapinga ushauri wa mkapa nimeuliza alikua wapi awamu zake zote mbili?

Pia hakuna sehemu niliposema huwa naandika point zilizoshiba. Punguza kupanic BAK
 
Wewe ni mtu wa ajabu sana hivi huyo mtu aliyewaua Watanzania wasio na hatia, kuwadhulumu Watanzania mbali mbali, kuwadhalilisha Watanzania mbali mbali, kupora uchaguzi, kuwabambikia kesi FAKE mbali mbali na kauli kama hizi ni nani mwenye kuthamini utu wa binadamu wenzie anaweza kumpenda mtu kama huyo? JITATHMINI!!!
Kwa taarifa yako sijapanic kukwambia ukweli unaokuhusu haina maana nimepanic ACHA UJINGA!
Kila kitu unatwist daah nasema una chuki kubwa na magu sio mie anonymous


Sijapinga ushauri wa mkapa nimeuliza alikua wapi awamu zake zote mbili?

Pia hakuna sehemu niliposema huwa naandika point zilizoshiba. Punguza kupanic BAK
 
Watanzania wote wanaomchukia jiwe wanafundishwa na BAK kuwa na chuki na jiwe 🤣🤣🤣🤣
Kila kitu unatwist daah nasema una chuki kubwa na magu sio mie anonymous

Sijapinga ushauri wa mkapa nimeuliza alikua wapi awamu zake zote mbili?

Pia hakuna sehemu niliposema huwa naandika point zilizoshiba. Punguza kupanic BAK
 
Wewe ndie waajabu. Unalialia kila siku mitandaoni si mkamshtaki huko jumuiya za kimataifa. Kila siku kupiga kelele mitandaoni hatua hamchukui. Ushahidi si mnao jamani tena wa kila aina. Badala yakuteseka kwa kumuombea kifo fanyeni mumshtaki akakae gerezani

Acha kupanic

Numby le panic button
 
Kwa hiyo kwa ajili yako kumqoute mtu twice ni sufficient evidence kwamba nimepanic🤣🤣🤣🤣🤣🤣una ufinyu mkubwa wa akili hahahahaha

Judge: what is your evidence that he panicked?
Numbisa: because he quote me twice
😂😂😂😂😂😂😂😂😂


Here we go🙄🙄🙄quote mbili mbili na bado unasema hujapanic🤣🤣🤣🤣🤣🤣cheiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…