Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapendwa wangu msigombane kwa sababu ya siasa mtakosa kulakiana kisa Siasa.
Kuna watu wana Ph.D za kuporomosha matusi.

Kulikuwa na sababu tulikuwa tunazikwepa siasa huku na tuliishi kwa upendo kweli. Aliyekuwa anazitaka siasa alizifuata huko kwenye jukwaa la siasa akachezea na ban yake huko. Naona mambo yamebadilika. Sad !!!
 
🤣🤣🤣🤣🤣umepanic. Lissu mwenyewe alianza kutumia ishu yake kutafutia kura nadhan matokeo unayafahamu
 
Kulikuwa na sababu tulikuwa tunazikwepa siasa huku na tuliishi kwa upendo kweli. Aliyekuwa anazitaka siasa alizifuata huko kwenye jukwaa la siasa akachezea na ban huko. Naona mambo yamebadilika. Sad !!!
Kwa sababu tumemchekea sana huyu mtoa mapovu.kila siku yeye tu kutuletea chuki zake.ukimchallange kidogo anakasirika
 
Eti matokeo unayahamu! UPORAJI wa chaguzi taahira wewe pia ulikenua na kupiga makofi!!! Taaahira katika UTAAHIRA WAKE 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣umepanic. Lissu mwenyewe alianza kutumia ishu yake kutafutia kura nadhan matokeo unayafahamu
 
3.14159265358979323846264338327950288419716939937510582097494459230781640628620899862803482534211706798214808651328230664709384460955058223172535940812848111745028410270193852110555964462294895493038196442881097566593344612847564823378678316527120190914564856692346034861045432664
 
Hahahahaha niko safiiii nawaangalia Arsenal wangu kwa raha zangu wewe mwenye roho nyeusi uko busy kupiga ramli zako eti nalia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kichaaa endelea kulia
 
Mwaka 1942, Mwanaume aliyepewa jina la Phantom Barber alikua anavunja na kuvamia nyumba za watu huko Mississippi na kukata nywele zao. Alikuwa anakata nywele za wanawake hususani wasichana wadogo. Uvamizi huo alikuwa akiufanya wakati wa Usiku pindi watu walipokuwa wamelala. Licha ya kuwepo kwa kesi nyingi za watu kukatwa nywele lakini muhusika hakuweza kutambulika ni nani. Siku moja alivamia katika nyumba moja ambayo ilikuwa wanaishi mke na mume ambapo baada ya kushindwa kutimiza lengo lake aliwadhulu kwa kuwapiga na bomba la chuma. Tukio hili la kuwashambulia wanandoa lilichochea hisia za watu na msako wa kumtafuta Phantom Barber uliongezeka, mwishowe mtuhumiwa alipatikana. Mwanamume aliyeitwa William Dolan alikamatwa na kushtakiwa kufanya jaribio la mauaji. Nywele za kibinadamu pamoja na bomba la chuma lililotumika katika shambulio lilipatikana karibu na nyumba yake, lakini hakukubaliana na mashitaka hayo ambayo baada ya uchunguzi kufanyika ilikutwa hana hatia hivyo akaachiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…