Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images(4).jpg

Umekosa cha kuandika sasa unaleta VIOJA 🤣🤣🤣🤣mie ninayepinga maovu na udhalimu natia huruma!!! Hahahahahaha ila wewe unayekenua pale Watanzania wanafanyiwa kila aina ya udhalimu hutii huruma. Kweli akili ni nywele hata ZERO BRAIN ana zake.
 
Wenye akili wanajua ni nani kichaa kati yako wewe ZERO BRAIN na mimi. Kufurahia udhalimu dhidi ya Watanzania ni dalili tosha akili yako ina MUSHKELI mkubwa sana but KARMA IS ALWAYS A BITCH.
Pale kichaa anapojitutumua na kujinasibu bwahahaha cheeeiii
 
Naam kwa wenye UFINYU wa akili kama wewe taahira dhalimu hajawahi kutokea Tanzania. Ben Saanane, Azory wamejipoteza wenyewe, Lissu kajipiga risasi mwenyewe, waliotekwa na kuteswa na wengine kuuawa wahusika ni wao wenyewe. Wafanyakazi, wakulima, wafanyabishara waliodhulumiwa trillions zao wahusika ni wao wenyewe, maiti zilizookotwa ufukweni walijiua wenyewe, walio bam ikiwa kesi FAKE kisha kutakiwa kulipa billions ili watolewe jela wahusika ni wao wenyewe, waliobomolewa nyumba zao huku kukiwa na ZUIO la mahakama wahusika ni wao wenyewe. Hakuna dhalimu Tanzania! MPUMBAVU MKUBWA WEWE!
Dhalimu hajawahi tokea Tanzania its your imagination. #Getsomehelp
 

Subira kidogo mpendwa haka kamama ni kapumbavu sana udhalimu huu huu dhidi ya Watanzania chungu nzima nchini ambaye yeye anaushangilia angetendewa yeye angepiga kelele dunia yote lakini kwake MKUKI KWA NGURUWE....


Yaishe mpendwa
 
 
Back
Top Bottom