Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tim Patch, raia wa Australia anayejulikana kwa jina maarufu la "Pricasso". Tim Patch ni mchoraji maarufu sana huko Australia ambaye amepata umaarufu kutokana na kuchora picha kwa kutumia uume wake, korodani na matako