mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Humu post na Sisi tulike tu maswali na majibu ni kwenye nyuzi zetu pendwa za siasa
PointWadau wa uzi wa likes nawapenda sana huu ni moja wa uzi ambao tuliubatiza jina la no stress zone
Hakuna stress kwenye uzi huu unapost chochote utapata likes kasoro lugha chafu picha chafu
But now days naona siasa mnaingiza humu sio sahihi wapendwa tujiweke pembeni na siasa kwenye uzi wet pendwa