Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Barcelona inataka kumuuza mchezaji wa Brazil Philippe Coutinho, 28, ili iweze kulipa Liverpool deni lililosalia kutoka uhamisho wake wa mwaka 2018. (Sport - in Spanish)
AiseePaul Pogba wa Manchester United yuko kwenye orodha ya waliolengwa wakati wa uhamisho na Paris St-Germain klabu hiyo ya Ligue 1 imewasiliana na kiungo huyo wa kati, 27, raia wa Ufaransa. (Foot Mercato - in French)