Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa Mkapa
FB_IMG_1594580608595.jpg
 
Nenda kanisani kwanza wewe mtu wa lumumba ingawaje siku moja moja nakukubali sana kwa unayoyaandika. Utachelewa misa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe huwa unanikubali eeh?[emoji1787]
Unanidis ila unanikubali kiaina[emoji7](kwa sauti ya Chid Benz)

Nijibu basi swali langu
 
Hahahaha msema kweli ni mpenzi wa Mungu ila huko lumumba hakukufai. Swali lako ngoja nitafakari kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe huwa unanikubali eeh?[emoji1787]
Unanidis ila unanikubali kiaina[emoji7](kwa sauti ya Chid Benz)

Nijibu basi swali langu
 
Hahahaha msema kweli ni mpenzi wa Mungu ila huko lumumba hakukufai. Swali lako ngoja nitafakari kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]mimi sina kadi ya chama chochote..
Ningekupa nafasi ya kunishauri;Je,ungenishauri nichukue kadi ya chama gani??

Kuhusu swali langu unatafakari tena BAK!
Ina maana hauna majibu??
 
Huna kadi ya chama lakini kila unapoongea nami hujifanya mtu wa lumumba ili iweje? 🤣🤣🤣
Chama cha Watanzania unakijua na nguvu yake wakati wa kampeni uliiona nchi nzima.
Kwani wewe unapenda dhuluma na maovu? Umeanza lini?
[emoji23][emoji23][emoji23]mimi sina kadi ya chama chochote..
Ningekupa nafasi ya kunishauri;Je,ungenishauri nichukue kadi ya chama gani??

Kuhusu swali langu unatafakari tena BAK!
Ina maana hauna majibu??
 
Huna kadi ya chama lakini kila unapoongea nami hujifanya mtu wa lumumba ili iweje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chama cha Watanzania unakijua na nguvu yake wakati wa kampeni uliiona nchi nzima.
Kwani wewe unapenda dhuluma na maovu? Umeanza lini?
Kwahiyo mtu akiongea anachokiamini ambacho hakikufurahishi tayari anakuwa wa lumumba???

[emoji23][emoji23]
Sasa mimi nimekuuliza swali halafu wewe unasema nakijua chama,,yaani wewe BAK ingekuwa ni paper wewe ungepata sifuri[emoji23][emoji23]
Nijibu basi maswali yangu,yashakuwa mawili[emoji4]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unakimbia ulichokuwa ukikiandika ambacho kilinifanya nihitimishe wewe ni wa lumumba hahahahahaha. Nenda kanisani kwanza ukirudi unijibu lini umeanza kukumbatia dhuluma na maovu dhidi ya Watanzania? Kisha nitajibu swali lako.


Kwahiyo mtu akiongea anachokiamini ambacho hakikufurahishi tayari anakuwa wa lumumba???

[emoji23][emoji23]
Sasa mimi nimekuuliza swali halafu wewe unasema nakijua chama,,yaani wewe BAK ingekuwa ni paper wewe ungepata sifuri[emoji23][emoji23]
Nijibu basi maswali yangu,yashakuwa mawili[emoji4]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unakimbia ulichokuwa ukikiandika ambacho kilinifanya nihitimishe wewe ni wa lumumba hahahahahaha. Nenda kanisani kwanza ukirudi unijibu lini umeanza kukumbatia dhuluma na maovu dhidi ya Watanzania? Kisha nitajibu swali lako.
Yaani hujanijibu maswali halafu unaniuliza maswali!!Nijibu nikujibu.
Hebu nijibu basi,,leo siendi ibadani[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom