[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiyo hiyo ya Kuku au weye ulitaka ya bata? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watakatifu wanapinga maovu siku zote hivyo kwa kuwa wewe ni mtakatifu na mara nyingi humu nimekusoma ukisimamia hilo basi jibu unalijua.
BAK ni mtu mtata sana lakini inapokuja kwenye watu waovu, wauaji, wanaotumia madaraka yao vibaya ili kudhalilisha, kuwanyanyasa kwa namna yoyote ile basi siku zote nitapinga udhalimu huo kwa nguvu zangu zote.
Nadhani nimekujibu? Au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii tabia ya kukacha kwenda kanisani umeanza lini? [emoji12][emoji12]