Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ si nakumbushia tu uzi huu chochote kile kinaruhusiwa hakuna mipaka. Au nasema uongo ndugu zangu? 🀣🀣🀣🀣
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BAK una nini lakini????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeshakwambia BAK mtata sasa nini usichoelewa hapo? Kama unataka definition ya mtata nenda kwenye kamusi 😜😜😜
Umekaza ubongo au siyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Unanichekesha ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1615919628691.jpeg
 
Hahahahahaha kuna watu wanakuogopa ukapiga break ya nguvu hukutaka kuendelea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya swali la BAK unataka waache kukuogopa ili iweje? [emoji12][emoji12]
Hayo maelezo kabla ya swali mbona sijaelewa..hebu nifafanulie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jibu la swali lako[emoji23][emoji23]
Mmh, sitaki waniogope.. mimi ni binadamu wa kawaida kabisa mwenye tabia kama zao[emoji1787]
 
Eti mimi ni binadamu wa kawaida kabisa kama wao! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tangu lini mtakatifu akawa ni binadamu wa kawaida!?
Hayo maelezo kabla ya swali mbona sijaelewa..hebu nifafanulie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jibu la swali lako[emoji23][emoji23]
Mmh, sitaki waniogope.. mimi ni binadamu wa kawaida kabisa mwenye tabia kama zao[emoji1787]
 
Eti mimi ni binadamu wa kawaida kabisa kama wao! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tangu lini mtakatifu akawa ni binadamu wa kawaida!?
Ona sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo maana nimesema naitoa hiyo Saint... haiwezekani kabisa Kuna wat lu wanaogopa hadi kupiga stori na mimi.
 
Back
Top Bottom