Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Point
 
GAZETI: Mbowe amekufa, amefia Dubai usiku wa jana kwa Corona.

SERIKALI: (kimya, hakuna hata onyo)

GAZETI: Mrema amefia Afrika kusini akipatiwa chanjo ya Corona.

SERIKALI: (Kimya hakuna hata onyo)

GAZETI: Prof.Sarungi amekufa kwa Corona akiwa anapatiwa matibabu jijini Dar.

SERIKALI: (Kimya hakuna hata onyo)

MITANDAO: Tumesikia fulani anaumwa.

SERIKALI: Wananchi acheni uzushi.

POLISI: Tutakamata wazushi wote wanaosema fulani ni mgonjwa.

MAWAZIRI: Jamani tusiwaombee wenzetu mabaya kwa sababu ya siasa. Unamzushia mwenzio anaumwa kwa faida gani?

DC: siasa zisitufanye tukakosa utu hadi kuzushiana magonjwa.

RC: Kwanini kumuombea mwenzio mabaya? Huo sio utamaduni wetu watanzania. Hata kama ni siasa ziwe na mipaka, sio za kupandikiza chuki.

VIONGOZI WA DINI: Jamani tuwe na hofu ya Mungu. Kwanini unamzushia mwenzio ugonjwa? Tuutafanya maombi kuombea afya yake.

#MyTake:
Kwa double standards hizi mnadhani maombi yatafika kweli? Huyo Mungu anayefurahi kuona wengine wakizushiwa vifo, halafu akakasirika kuona wengine "wakizushiwa" magonjwa ni Mungu huyuhuyu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo au ni mwingine? Je mnafikiri kuna watu wana haki ya kuishi kuliko wengine? Wanaozushiwa kufa sio watu ndio maana hata hamkemei ila "anayezushiwa" kuugua ndio mtu thats why mnapiga kelele? Leo ni Dominika ya 4 ya Kwaresma. Tujitafakari.!

GJ
 
Acheni kukata vipara


6. Nywele za sehemu za siri

Hulinda ngozi dhidi ya presha ya sehemu za siri kusuguana kwa njia ambayo huenda ikasababisha uchungu na kuchubua ngozi.
Hali hiyo hutokea wakat wa tendo la ndoa hivyobasi nywele husadia katika kulinda ngozi.
Watalaam pia wanasema kwamba husadia katika kujilinda dhidi ya maabukizi kufikia uke.
Vilevile, wataalamu kama vile Dkt. Woru Baba Goni wanasema kwamba nywele za sehemu za siri za mwanamke husaidia katika kujilinda dhidi ya bakteria na magonjwa mengine.
''Hata iwapo nywele zilizopo katika sehemu za siri hazivutii, kuzikata mara kwa mara husadia katika usafi wa mwili kwa mujibu wa daktari Goni.
Huku baadhi ya watu wakiachilia nywele zao zimee, wengine huzipunguza kila zinapomea.
 
Barcelona wanakaribia kufikia mkataba wa kumsajili mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, lakini uhamisho wa bure wa kiungo huyo aliye na umri wa miaka 32- utategemea ikiwa klabu hiyo ya Nou Camp itafanikiwa kumshawishi mshambuliaji mwenzake wa Argetina Lionel Messi, 33, kusalia nao. (AS)
 
Mkurugenzi wa michezo wa Borussia Dortmund Michael Zorc, amesema klabu hiyo imepatia kipaumbele kushinda Ligi ya Mabingwa kupitia Bundesliga wanapojitahidi kusalia na mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland, 20, kwa "muda mrefu iwezekanavyo". (Welt an Sonntag, via Goal)
 
Mshambuliaji wa Inter Milan Lautaro Martinez, 23, anaamini kuwa atasaini mkataba mpya na klabu hiyo, licha ya kile Muargentina huyo alichotaja kuwa "changamoto kidogo za kifedha" zunazokabili klabu hiyo ya Italia. (Sky Sports Italia, via Goal)
 
Christian Eriksen alikuwa amehusishwa na tetesi za kuondoka Inter Milan mwezi Januari lakini nyota huyo mwenye umri wa miaka 29- anasema anafurahi kuwa katika klabu hiyo ya Serie A. (Sky Sports Italia, via Football Italia)
 
Kocha wa Juventus Andrea Pirlo amesema ni "kawaida kuwepo kwa uvumi" wa hatma ya mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo katika klabu hiyo baada ya kutoka kwenye Ligi ya Mabingwa lakini mchezaji huyo, 36, "amekuwa na mchezo mzuri" kwa timu hiyo ya Serie A. (Football Italia)
 
Solskjaer atafanya mazungumzo ya uhamisho na timu ya Manchester United - huku mshambuliaji wa Uruguay Edinson Cavani, 34, Mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, 25, na mlindalango wa Uhispania David de Gea, 30, wakiwa katika hatari ya kupigwa kalamu. (Sun on Sunday)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…