moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwenu kuna sherehe tena!?[emoji849]Sana. Hata la kwetu naona leo ni sherehe tupu
Walisema bia watazimaliza, konyagi piaHukuona wanasema wao wanajiandaa kufanya sherehe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kweli kabisaDunia si lolote wala chochote,
ni mapito tu.
Tuishi kwa upendo
Pole jiraniUuuuuh naumia mwili na roho, nimekosa nguvu. Magufuli baba yetu umetuachia giza nene.